BITCOIN ni nini? Kwanini imekuwa biashara maarufu duniani? Fahamu yote ya muhimu

Bila shaka umewahi kuona ama kusikia kuhusu kitu kiitwacho BITCOIN. Na hapa Tanzania BITCOIN imekuwa biashara maarufu sana. Lakini, wengi wetu hatuna ufahamu mkubwa sana kuhusu biashara hii. Raymond Makunja ambaye ni mtaalam wa masuala ya biashara anatupa elimu zaidi